Nafurahi sana kuona hii photo,inaonyesha kwamba sisi watoto wa Est tuko wastarabu (Silimuka).
Uchaguzi umefanyika kwa amani,sio kama huko kwa wasio wastarabu,wanachochea vita Congo
ila wao wanakula Mcdonals Paris-Bruxelles.
Tulipita katika kipindi kigumu 1996-2004 ya vita na wao ndo walikua wanaunga mkono rebelle
Jean Pierre Bemba.
Leo Bemba lake limeishia CPI sasa wote wamekua nyuma ya mpenda fujo ambae kwake asiye
ongea Lingala sio Mkongomani,kwa sasa wameacha neno la…violent des femmes a l’Est…inakua
Tshisekedi president.Sisi ambao tulipigana na agresseur hata siku moja hatuwezi kuacha kupigania
Demokrasia katika nchi yetu ya Congo. Vive les Lumumbistes et Kabilistes.
Vous pouvez vous abonner à Bukavu Online par e-mail pour recevoir la lettre d'information directement dans votre boîte de réception. Il suffit d'entrer votre adresse e-mail ci-dessous et cliquez sur S'inscrire!
Huuuuum!!?? NO COMMENT!
Voter :
0

3
1